Kesi Yamkosesha Usingizi Wema
Wema Sepetu.
Akichonga na K i l i n g e , Wema alisema: “Yaani kiukweli kabisa kesi inaninyima sana usingizi jamani, nakosa amani na wakati mwingine hata ukitaka kubadilisha hali ya hewa nje ya nchi haiwezekani, inaumiza sana.”

Post a Comment