ad

ad

Wema hana tatuu ya mwanaume mwilini mwake!




STAA mwenye jina kubwa Bongo, Wema Isaac Sepetu amefunguka kuwa, kamwe hawezi kuchora tatuu ya jina la mwanaume kwenye mwili wake isipokuwa baba yake, marehemu Isaac Sepetu pekee.

 Wema aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, labda mwanaume afanye maajabu makubwa kwake ndipo anaweza kumchora lakini tofauti na hapo, hawezi kufanya hivyo.
 
 “Yaani mwanaume ambaye  nimempa nafasi ya kumchora kwenye mwili wangu ni baba yangu peke yake na si mtu mwingine maana sijaona maajabu aliyofanya mwanaume kwangu mpaka nimchore,” alisema Wema
 

Wema Sepetu Anaswa Akila Denda Live Na Kidume! Awalipa Zari vs Mobetto

No comments

Powered by Blogger.