Diamond Amuelezea Hamisa Mobeto na Mtoto Wake Mahakamani (Video)
Diamond amesema mtoto huyo ni wake hilo halina mjadala hivyo ni lazima ampe matunzo bora ingawa alisema awali Mobeto alikuwa akishawishiwa na baadhi ya watu amkomoe kupitia mtoto huyo ingawa hilo sasa limewekwa sawa. "Nitamlea mwanangu" Alimaliza kusema Diamond.
SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Post a Comment