Yusufu Manji Afikishwa Mahakamani Mchana huu

Hivi sasa ameingizwa katika mahabusu ya mahakama, akisubiri kupandishwa kizimbani kusomewa mashtaka yanayomkabili.
Manji
amefikishwa mahakamani leo ikiwa ni siku ya nane tangu alipojisalimisha
na kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, alopoitikia
wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda ili kuhojiwa.
Umati
mkubwa wa watu wanaodhaniwa kuwa ni mashahabiki wa Klabu ya Yanga,
ndugu jamaa na marafiki wamefurika katika chumba cha mahakama,
wakimsubiri apandishwe kizimbani.
Post a Comment