ad

ad

Mapigo Matatu Ya Hamisa Mobeto Katika Ukumbi wa King Solomon, Dar


Video Queen Hamisa Mobeto usiku wa kuamkia jana aliangusha bonge la parti ndani ya Ukumbi wa King Solomon uliopo Kinondoni jijini Dar ambapo mastaa kadhaa walihudhuria sherehe hiyo aliyokuwa akimfanyia mwanae Prince ambaye hata hivyo hakuwepo ukumbini pengine kutokana na muda.


Baadhi ya mambo yaliyowakosha wageni waalikwa ni kitendo cha mrembo huyo kubadili mavazi mata tatu na kumfanya aonekanao kwa muonekano tofauti. Picha Mobeto akiwa kwenye pozi na mavazi tofauti.





No comments

Powered by Blogger.