Maneno ya Tundu Lissu Akiwa Hospitali Nairobi, Kenya (Video)
Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lissu jana Jumatano (Oktoba 18, 2017) amezungumza na kutoa shukrani kwa wote waliofanikisha katika matibabu na kuokoa Maisha yake.
TUNAOMBA SOGEZA VIDEO MBELE KUSIKIA SAUTI YAKE SUBSCRIBE:
SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars aada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe jana kuahidi mbele ya waandishi wa habari kwamba picha za Mbunge wa Singida Magharibi, Tundu Lissu, zingeanza kutoka kuonyesha afya yake ilivyoimarika hospitalini Nairobi ambako alipelekwa baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Dodoma, leo chama hicho kimetokea picha ya kwanza.
SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars Madhumuni ya kutoa picha hizo, kwa mujibu wa Chadema, ni kuwahamasisha Watanzania waendelee kumchangia fedha na kumuombea afya yake iimarike ikiwa ni pamoja na kuwatia moyo wale ambao walimchangia mwanzoni kabisa alipopatwa na mkasa huo.
SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Kwa mujibu wa chama hicho, Lissu sasa anatembea kwa kutumia kiti maalum cha magurudumu (wheel chair), anaongea na kula chakula anachokitaka. Vilevile, muda wowote tangu sasa, chama hicho kimesema kitatoa video kumwonyesha Lissu akiongea.
Post a Comment