ad

ad

Snura Apagawisha Minjemba Kwa Chuma Matembele

 

MKALI wa Mduara, Snura Mushi ‘Mamaa  Majanga’ juzi aliwapagawisha minjemba  kwenye uzinduzi wa video ya wimbo  wake wa Zungusha ‘Chuma Matembele’  aliomshirikisha Christian Bella ‘Obama’, katika Ukumbi wa Maisha Basement, Kijitonyama jijini Dar.
Uzinduzi wa wimbo huo uliongozwa na burudani kwa majimama wa Kundi la Tukunyema na Kinyamasina kwa kushindana kukata nyonga jukwaani kwa ajili ya kuchuma mchicha na matembele.huku wanaume wengi
wakionekana kudatishwa na mtindo huo. Wasanii wengine walioshiriki katika uzinduzi huo ni Ester Kiama, Aunt Ezekiel na Iyobo, Shilole, Riyama Ally na wengineo.













No comments

Powered by Blogger.