Live: Vodacom Wazindua Pinduapindua Kwa Wajanja wa Mjini
Ukiwa na Pindua units unapata uhuru wa kuamua matumizi yake iwe kupiga simu,kuperuzi au kutuma sms kwa sababu matumizi ya uniti unajipangia mwenyewe.
Pia PinduaPindua inakupa Facebook, Whatsapp na SMS BURE. Mchanganua wa Gharama za pindua units Dk 1 (Voda –Voda) = uniti 1 Dk 1 (Mitandao yote) = uniti 5 MB 1 = uniti 1 SMS 1 = uniti 1 (hii ni baada ya kumaliza SMS za BURE) Kupata pindua units, Piga *149*01# Pinduapindua Kusoma zaidi fanya kuingia hapa muda huu https://vodacom.co.tz/pindua/
Post a Comment