Alichokisema Mdogo wa Damu wa Tundu Lissu Sakata la Kaka Yake Kupigwa Risasi
Mdogo wa Tundu Lissu, Vicent Lissu
Vicent Lissu, ni mdogo wa Tundu Lissu ambaye wamefuatana, kutoka kwa baba na mama mmoja, ambapo kufuatia tukio la kaka yake kupigwa risasi, amefunguka mengi ya moyoni kuhusu tukio hilo.
Vicent ameyasema hayo katika ibada maalum ya kum,uombea Lissu iliyofanyika kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Askofu Gwajima. Vincent amesema Lissu ni mtu anayependa sana haki tangu wakiwa wadogo, kwa hiyo anajisikia vibaya kuona ndugu yake akiwa kitandani kwa sababu ya kutetea haki.

Post a Comment