TECNO YAJA NA MABORESHO YA KAMERA ZA SIMU
Mara nyingi watu wamekua wanachanganya kati ya picha iliyopigwa simu na ile iliyotengenezwa kwa kompyuta kutokana na mwanga wa picha hizo.
Moja kati ya Simu nzuri zilizoko sokon inaywezesha kupiga picha na kumridhisha mtumiaje ni Tecno Camon CX Limited Edition. Kamera ya nyuma ya simu hii inakuja ikiwa na uvumbuzi wa kuwekewa ringi iliyojazwa flashi, uvumbuzi huu unaleta matokeo mazuri kwani unaweza kunyonya giza na kutoa picha zilizo na mng’aro wa asilimia 40 zaidi kuliko picha za kamera za simu zingine.
Kwa ujumla inajulikanna kama ni ngumu kupata picha zilizo katika ubora katika mazingira ya usiku hata hivyo Cammon CX Manchester City Limited Edition imetengenezwa kuweza kukabiliana na changamoto za aina hizi. Ringi yenye flashi nne kwa nyuma inakuja ikiwa na kamera moja kwa moja.
Watumiaji wa simu hii hawatakiwi kuogopa kudhani watahitaji elimu kubwa ya jinsi ya kutumia kamera na flashi zake katika kupiga picha kwa kutumia simu hii, flashi mbili za mbele na nne za nyuma zilizo katika ringi maalumu zitahitaji kuwashwa tu na mtumiaji pale anapoona mwanga ni hafifu eneo alilopo mengine kamera ya simu
Post a Comment