ad

ad

SIMBA WAIFUNGA WIKI RUVU SHOOTING UWANJA WA UHURU



FULL TIME
Dakika ya 92: Mwamuzi anamaliza mchezo.
Dakika ya 90: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 2 za nyongeza.
Dakika ya 89: Kiungo wa Simba Kotei anachezewa faulo, amchezo unasimama kwa muda.
Dakika ya 86: Simba wanaendelea kutawala mchezo.
 Dk y 75: Mchezo ni wa kushambuliana kwa zamu.

Dakika ya 65: Simba wanafanya mabadiliko, wanamtoa Mwanjali, anaingia Juuko. 
Dakika ya 61: Kichuya anapata nafasi ya kufunga lakini anakuwa ameotea. 
Dakika ya 57; Mchezo unaendelea kwa kasi, Simba ni kama hawajatosheka na mabao waliyofunga.
Dakika ya 54: Simba wanaongoza mabao 6-0, Okwi akiwa amefunga mabao manne hadi sasa.
Okwi anaipatia Simba bao la Sita, anafunga kwa kichwa akiunganisha krosi ya Saidi Ndemla ambaye aliingia kuchukua nafasi ya Niyonzima aliyeumia.
Dakika ya 51: GOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dakika ya 50: Ruvu wanasogea kwenye lango la Ruvu lakini wanazuiwa.
Dakika ya 48: Simba wanacheza mchezo wa nguvu, Kotei anacheza faulo katikati ya uwanja.Mchezo umeanza kwa kasi ndogo.
Kipindi cha pili kimeanza.
MAPUMZIKO
Kipindi cha kwanza kimekamilika.
Dakika ya 47: Mwamuzi anamaliza kipindi cha kwanza Simba wakiwa mbele kwa mabao 5-0.
Simba wanapata bao la tano likifungwa na Juma Liuzio akimalizia krosi nzuri ya Nyoni.
Dakika ya 46: GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 45: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 2 za nyongeza.
Simba wanaongoza kwa mabao 4-0 hadi sasa, lakini Haruna Niyonzima alitolewa nje kutokana na kuumia, bado anapatiwa matibabu
Dakika ya 42:  Simba wanapata bao la nne kupitia kwa Kichuya, alipata krosi nzuri kutoka kwa Nyoni akamalizia kiulaini.
Dakika ya 42: GOOOOOOOOOOOOOOOOO!
Dakika ya 38: Simba wamemiliki mchezo kwa muda mrefu sasa.
Pasi nzuri kutoka kwa Mzamiru, inatua mguuni kwa Okwi, akiwa yeye na kipa anatupia bao la tatu.
Okwi tenaaaaaaaaa
Dk ya 35: GOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!
Dk ya 32 Mchezo unaendelea, Manula ameshatibiwa
Dakika ya 31: Mchezo unaendelea, Manula ametibiwa na sasa kila kitu shwari.
Dakika ya 30: Mchezo umesimama, kipa wa Simba, Aishi Manula amelala chini baada ya kuumia.
Dakika ya 26: Mchezo unaendelea kwa kasi, Simba ndiyo ambao wanamiliki mpira muda mwingi
Dakika ya 22: Okwi anawatoka walinzi wawili wa Ruvu na kumchambua kipa kisha kujaza mpira wavuni, Simba wanaongoza kwa mabao 2-0.
Okwi anafanya kweli kwa mara nyingine.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
Simba inaongoza kwa bao 1-0, Okwi alipata pasi nzuri kutoka kwa Mzamiru.
Okwi anaipatia Simba bao la kwanza baada ya kuwazidi mbio mabeki wa Ruvu kisha kupiga shuti lililojaa wavuni moja kwa moja.
Dakika ya 18: Okwiiiiiiiiiiiiiiii
GOOOOOOOOOOOOOOOOO!!
Dk ya 16: Ruvu wanacheza vizuri kadiri muda unavyokwenda, wanapa upinzani Simba.
Dakika ya 16: Ruvu wanacheza vizuri kadiri muda unavyokwenda, wanapa upinzani Simba.
Dakika ya 14: Mzamiru anacheza faulo katikati ya uwanja, unapigwa mpira kuelekea kwa Simba.
Dakika ya 10: Timu zote zinashambuliana kwa zamu.
Dakika ya 6: Simba wanalishambulia lango la Ruvu lakini bado kasi haijachanganya.
Dakika ya 1: Timu zote zimeanza kwa kasi ndogo.
Dakika ya 5: Bado kasi ya mchezo haijawa kubwa.
Machezo umeshaanza matokeo bado ni 0-0
SIMB SC 
1. Aishi Manula-28
2. Ally Shomary-21
3. Erasto Nyoni-18
4. Method Mwanjale-17
5. Salum Mbonde-2
6. James Kotei-3
7. Shiza Kichuya-25
8. Mzamiru Yassin-19
9. Juma Liuzio-10
10. Emmanuel Okwi-7
11. Haruna Niyonzima-8
SUB
1. Emmanuel Mseja-30
2. Jonas Mkudeh-20
3. Mohamed Ibrahim-4
4. Said Ndemla-13
5. Laudit Mavugo-11
6. Juuko Murshid-6
7. Mohamed Hussein-15
Kocha... 
MARIUS OMOG
RUVU SHOOTING. 
1. Bidii Hussein-18
2. Said Imani Madega-19
3. Yusuph Innocent-2
4. Shaibu Nayopa-26
5. Mangasin Mangasin-6
6. Baraka Mtuwi-15
7. Chande Magoja-21
8. Shaban Msaja-4
9. Juma Said-9
10. Jamal Mtegeta-10
11. Khamis Mussa-22
Subs. 
1. Abdallah Rashid-1
2. George Wawa-12
3. Mau Ally-23
4. Frank Msese-16
5. Kassim Dabi-24
6. William Patrick-27
7. Said Dilunga-25
Kocha.. 
ABDUL MUTIK HAJI
Kick Off-16:00
Venue: Uhuru Stadium.
KUNJI/C

No comments

Powered by Blogger.