ad

ad

OKWI RASMI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUICHEZEA SIMBA



Mshambuliaji Emmanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba.

Okwi amesaini mkataba huo hivi punde mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' huku bilionea Mohammed Dewji akishuhudia.

Okwi alitua nchini jana akitokea kwao Uganda na leo amemalizana na Simba ambayo anakuwa amejiunga nayo kwa mara ya tatu.

No comments

Powered by Blogger.