ad

ad

Welu Abanwa Kuzaa na Mume wa Mtu

MSANII wa filamu Bongo, Welu Sengo amefunguka madai ya kujifungua mtoto wa kike wa staa wa fi lamu (jina kapuni) ambaye ni mume wa mtu.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, kwa kipindi kirefu tangu mwanadada huyo anase ‘kibendi’ alikuwa adimu kuonekana viwanja kutokana na kufanya siri ujauzito wake, lakini mapema wiki iliyopita alifanikiwa kujipatia kichanga. 

Baada ya kuinyaka ishu hiyo, Star Mix ilimtafuta na kumbana juu ya madai hayo na kufunguka; “Jamani siwezi kumuanika mwanangu kwa sasa lakini hilo la kuzaa na huyo msanii wa Bongo Muvi hapana, si kweli,” alisema.

No comments

Powered by Blogger.