ad

ad

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo



IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ambapo uteuzi wa kujaza nafasi yake utafanyika baadaye


No comments

Powered by Blogger.