ad

ad

Meya wa Dar Akabidhi Ndinga za EFM Kwa Washindi

 Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita  akijiandaa kukabidhi magari hayo kwa washindi
 Mwita (katikati) akitoa pongezi zake kwa washindi Kutoka Kulia ni Meneja mkuu Dennis Busulwa, Mshindi (Michael Peter), akifuatiwa na Mshindi Joyce Daniel pamoja na Rukia Mtingwa Meneja masoko Zantel.
 Washindi wa shindano hilo wakiwa wameshikilia kadi za gari Kutoka kulia ni Michael Peter na Joyce DanielWashindi wa shindano hilo wakiwa wameshikilia kadi za gari Kutoka kulia ni Michael Peter na Joyce Daniel
 Shamla Shamla zikiendelea.
Wasindikizaji wa mshindi Michael Peter kutoka salasala
Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita Charles jana amekabidhi rasmi magari mawili aina ya Suzuki Carry maarufu kama (Kirikuu) kwa washindi wa shindano la shika ndinga linaloandaliwa na kuendeshwa na kituo cha utangazaji cha EFM redio, washindi waliopatikana katika fainali iliyofanyika tarehe sita mwezi wa tano mwaka huu katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Jijini Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.