Video:Shoo Nzima Ya Nay wa Mitego 'Wapo Concert' Dar Live - Mbagala
Mkali wa Ngoma ya Wapo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’
ataungana na mastaa kibao katika bonge la shoo linalotambulika kama Wapo
Concert leo (Mei 20), ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live
uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Post a Comment