MBAO FC 2-3 SIMBA UWANJA WA CCM KIRUMBA, MWANZA (MPIRA UMEKWISHA)
GOOOOOOOOO Dk 90+6 Mzamiru anaachia mkwaju mkali na kufunga bao la tatu
DAKIKA 7 ZA NYONGEZA
GOOOOOOOOO Dk 90+2, Simba wanapata bao la pili baada ya kipa kuukosa mpira, ukamgonga miguu na kumkuta Blagnon ambaye anamalizia kazi
KADI 88 Dk Kotei analambwa kadi ya njano baada ya kucheza undava
DK 86, shambulizi jingine la Simba lakini Blagnon anagongana na kipa, yuko chini anatibiwa
DK 85, mpira wa kurusha wa Bukungu unatolewa na kuwa kona, inachongwa hakuna kitu
GOOOOOOOOO Dk 83, Blagonon anaifungia Simba safi kwa kichwa baada ya kipa kutoka
Dakika ya 82: Blagnon anaipatia Simba bao la kwanza kwa kuunganisha mpira kwa kichwa.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dakika ya 80: Simba wanafanya shambulizi lakini linakuwa halina nguvu.
Dakika ya 78: Mashabiki waliokuwa nje ya uwanja wanaruhusiwa kuingia uwanjani, kwa kuwa muda wa mchezo unaelekea mwishoni.
Dakika ya 75: Baadhi ya mashabiki wa Simba wameanza kutoka nje ya Uwanja wa CCM Kirumba, wanaonekana kukata tamaa.
Dakika ya 74: Unapigwa mpira wa krosi langoni mwa Mbao, washambuliaji wa Simba wanaruka lakini wanagongana na kipa wa Mbao FC na mwamuzi anaamuru iwe faulo kuelekea lango la Simba.
Dakika ya 70: Kasi ya mchezo imepungua, ni kama Simba wameanza kukata tamaa, hata mashabiki wao wamepunguza nguvu ya kushangilia uwanjani hapa.
Dakika ya 64: Juuko Murshid wa Simba anamchezea faulo beki wa Mbao FC, inakuwa faulo kuelekea lango la Simba, inapigwa lakini inapaa juu ya lango.
Dakika ya 60: Simba wanafanya mabadiliko, anatoka Juma luizio anaingia Blagnon.
Dakika ya 55: Safu ya kiungo ya Mbao inaonekana kuwa vizuri, inajipanga na kupiga pasi kadhaa huku Simba wakipata wakati mgumu kujipanga katikati.
Dakika ya 50: Simba wanajipanga katikati ya uwanja lakini Mbao wanakuwa wajanja kuzuia mipira, Simba wanafanya shambulizi kali kwa kupiga shuti linalotoka nje ya lango.
Kipindi cha pili kimeanza: Mbao wakiwa mbele kwa mabao 2-0.
Timu zinaingia uwanjani kwa ajili ya kipindi cha pili.
MAPUMZIKO
DAKIKA 3 ZA NYONGEZADAKIKA 7 ZA NYONGEZA

Dk 44, Kichuya anajaribu anaingia vizuri lakini anashindwa kuutumia mguu wa kulia kupiga krosi
Dk 43 Simba wanapata kona nyingine baada ya shuti la Kotei kumbeba beki Mbao
DK 42, Liuzio anaingia vizuri na kuachia shuti kali, lakini goal kick
SUB Dk 39 anaingia Mavugo kuchukua nafasi ya Hamadi Juma
Dk 36, Kichuya anageuka na kuachia shuti kali kabisa lakini juu
Dk 35, Mbao sasa wanaonekana wamerudi chini na kudhibiti mpira na ulinzi wao unazidi kuwa mkubwa
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dakika ya 32: Mbao bado wanaendelea kulisakama lango la Simba.
Dakika ya 30: Mbao wanaonekana kujipanga vizuri.
Dakika ya 20: Mbao bado wanaongoza bao 1-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.
Mfungaji aliambaa na mpira kutoka upande wa kushoto, akapiga shuti likampita kipa Peter Manyika.
Mbao FC wanapata bao la kwanza, kupitia kwa George Sangija.
Dakika ya 18: GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOODakika ya 20: Mbao bado wanaongoza bao 1-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.
Mfungaji aliambaa na mpira kutoka upande wa kushoto, akapiga shuti likampita kipa Peter Manyika.
Mbao FC wanapata bao la kwanza, kupitia kwa George Sangija.
Dakika ya 18: GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dakika ya 15: Mchezo unaendelea kwa kasi lakini Mbao FC wanaanza kujibu mashambulizi.
Dakika ya 10: Simba wanafanya shambulizi lakini walinzi wa Mbao FC wanakuwa makini kuokoa.
Dakika ya 5: Mchezo bado unaendelea kwa timu zote kusomana lakini Simba ndiyo ambao wamefika kwenye lango la Mbao mara kadhaa lakini bado hawajafanya shambulizi kali.
Dakika ya 1: Mchezo umeanza kwa timu zote kusomana.
Mchezo umeshaanza idadi ya watu ni wengi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.
Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara unatarajiwa kuanza muda si mrefu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Post a Comment