Ester Kiama Akataa Kuzaa na Dude

Kulwa Kikumba ‘Dude’.
Akichonga na Za Motomoto News, Ester alisema hivi sasa umri unakwenda na ni vyema akizaa ili kazi ibakie kuwa moja tu ya kulea, huku akiwa hajui ni mwanaume gani sahihi wa kushiriki naye katika uzazi huo.
“Siwezi kukueleza kwa nini sitaki kuzaa na Dude, labda umuulize mwenyewe ila kiukweli natamani sana mtoto wa kike kwa sasa, maana huyu niliyenaye ameshakua mkubwa, anahitaji mdogo wake,” alisema Ester.
CREDIT: GPL
Post a Comment