ad

ad

Diamond Platnumz na Mange Kinambi Kimenuka Instagram, Kisa wimbo Mpya wa Acha Nikae Kimya wa Diamond

Staa 'the big name' wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Diamond Platnumz na Staa wa Instagram Madam, Mange Kinambi wametifuana kisa kipo hapa

mangekimambi_Nimedelete upupu mwingine aliokuwa kaandika iko nipate space ya kumjibu... .
.
We pumbu unatumika vibayaaaaaa. Hiyo kitu ya kuwatishia watanzania na vita sijui ukosefu wa amani CCM washamitumia Hiyo for many years kuwatisha watanzania .
.
Repost @diamondplatnumz with #repostapp
hivyo tusikubali tu kulishwa Sumu za kuleta ugomvi kati yetu wenyewe kwa wenyewe eti Mara Tutukane mara sijui fanyeni hiki, wakati hata baadhi ya wanaochochea mambo hayo hawaishi Tanzania wanaishi Ulaya / Marekani / kifupi nje ya nchi...ikija kutokea bahati mbaya kimenuka wao watakuwa wanakula kuku kwa mrija huko walipo...halafu sisi na familia zetu ndio tutateseka na kuhaha kunusuru roho zetu usiku kucha.. Hatutaki makelele ya Uchonganishi mitandaoni, kama mtu kweli anauchungu na nchi na kweli akisemacho anamaanisha aje, na kwa pamoja twende sehemu husika kupeleka malalamiko sio kukaa kitandani kupost kuchochea Ugomvi kumbe anatuchora na kutufanya kama sie mataahira wake, anatupeleka mara kushoto mara kulia... Akikaa pekeake anatucheka kuwa sie

 

Nimedelete upupu mwingine aliokuwa kaandikiwa na kina Bashite. . We pumbu unatumika vibayaaaaaa.Hiyo kitu ya kuwatishia watanzania na vita sijui ukosefu wa amani CCM washaitumia for many years kuwatisha watanzania.Watu wakitaka mabadiliko gia Yao ya kwanza ni kuwatishia kuwa amani itapotea. Acha ipoteeee, Amani ya kisenge ya nyinyi wachache kutajirika kujenga mastate house sijui ushenzi gani Huku wengine wanasaga meno tumeichoka.wewe Dai umeshashiba huoni shida ya wengine lazma utake Amani, kamuulize anaeshinda mlo mmoja kama kuna Amani Tz? . . You call this Amani? Amani ya vyama vya siasa kunyimwa kufanya mikutano ya hadhara, Amani ya Wa Bunge wa upinzani kufungwa jela kila siku? Amani ya vyombo vya habari kuvamiwa kwa mitutu? Amani ya wananchi kutajwa kama wauza unga ili waibiwe mali zao? Amani ya watz kutishiwa kuuwawa sababu ya kuandamana kitu ambacho kinaruhusiwa kikatiba?Amani ya wasaniii kutekwa sababu kiongozi anatafuta Kiki za kisenge, Hiyo Amani ya kisenge hatuitaki. Dai Ungemsikilzia mamako na unyamazeeee.Ndio sisi watz tulio nje ya Tz ndo tunaongea sana , hilo tu ni ushahidi tosha kuwa Tz hakuna Amani kwanini walioko ndani waogope kusema tuseme sisi tulioko nje? . . Dai embu tuliza pumbu hizo! Kama umekosa cha kufanya kamtie Mimba Zari mfanye arobaini maana ndo kiki ulizobakiza siku hizi.Kwenye issue za msingi usilete pumbu zako. Fala wewe! . . . . Repost @diamondplatnumz with #repostapp hivyo tusikubali tu kulishwa Sumu za kuleta ugomvi kati yetu wenyewe kwa wenyewe eti Mara Tutukane mara sijui fanyeni hiki, wakati hata baadhi ya wanaochochea mambo hayo hawaishi Tanzania wanaishi Ulaya / Marekani / kifupi nje ya nchi...ikija kutokea bahati mbaya kimenuka wao watakuwa wanakula kuku kwa mrija huko walipo...halafu sisi na familia zetu ndio tutateseka na kuhaha kunusuru roho zetu usiku kucha.. Hatutaki makelele ya Uchonganishi mitandaoni, kama mtu kweli anauchungu na nchi na kweli akisemacho anamaanisha aje, na kwa pamoja twende sehemu husika kupeleka malalamiko sio kukaa kitandani kupost kuchochea Ugomvi kumbe anatuchora na kutufanya kama sie mataahira wake, anatupeleka mara kushoto mara kulia... Akikaa pekeake anatucheka kuwa sie

A post shared by Daudi Bashite (@mangekimambi_) on

Ili Nchi ipate maendeleo inahitaji Upendo na Ushirikiano wa Wananchi na Serikali..Na Nikiwa kama Msanii, jukumu langu ni kuhakikisha natumia Hekma na busara kukemea jambo nilionalo haliko sawa ili lirekebishwe, lakini pia panapokuwa hakuna maelewano jukumu langu pia ni kupatanisha ili kwa pamoja tujenge nchi yetu kusudi wazazi wetu, watoto pamoja na familia zetu waishi kwa Upendo Amani na kufurahia nchi yetu...Na ndiomaana kwenye nyimbo nakwambia "MI NA WEWE WA TAIFA MOJA...KAMBARAGE BABA MMOJA....SASA TOFAUTI ZA NINI TUSHIKAMANE TUKAIJENGE TANZANIA"... Unatakiwa utambue kuwa kila kiongozi ni Binadamu na kama wote tujuavyo, Binadamu hatujakamilika... hivyo katika nchi yoyote lazma wakati mwingine kuna jambo linaweza likawa haliko sawa, ila sisi kama wananchi tunatakiwa tutumie Hekima na Busara kwenye kufikisha ujumbe ama hoja zetu ili viongozi walieke sawa...Busara na Hekima itafanya viongozi watuelewe kirahisi na pengine mengi tuyatakayo tutimiziwe kirahisi... mfano mzuri, juzijuzi kupitia kipindi cha Clouds360 cha clouds Tv nlipopata bahati ya kuongea na Mh Raisi nilimuomba atufungulie Mabanda ya Chipsi na Bodaboda ziruhusiwe kufanyakazi hadi asubuhi maana zilikuwa nwisho saa 4 ama 5 usiku...kwakuwa nilitumia Hekima na busara kwenye Kufikisha hoja ama Ombi langu..alikubali na tukapewa ruksa na sasa hivi maeneo mengi ya Chipsi na Bodaboda yanafanya kazi hadi usiku mnene... hivyo tusikubali tu kulishwa Sumu za kuleta ugomvi kati yetu wenyewe kwa wenyewe eti Mara Tutukane mara sijui fanyeni hiki, wakati hata baadhi ya wanaochochea mambo hayo hawaishi Tanzania wanaishi Ulaya / Marekani / kifupi nje ya nchi...ikija kutokea bahati mbaya kimenuka wao watakuwa wanakula kuku kwa mrija huko walipo...halafu sisi na familia zetu ndio tutateseka na kuhaha kunusuru roho zetu usiku kucha.. Hatutaki makelele ya Uchonganishi mitandaoni, kama mtu kweli anauchungu na nchi na kweli akisemacho anamaanisha aje, na kwa pamoja twende sehemu husika kupeleka malalamiko sio kukaa kitandani kupost kuchochea Ugomvi kumbe anatuchora na kutufanya kama sie mataahira wake, anatupeleka mara kushoto mara kulia... Akikaa pekeake anatucheka kuwa sie wajinga wake katueka mkononi...

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

No comments

Powered by Blogger.