Wema awalaumu waigizaji Sakata la Roma, Ray Amtolea Uvivu na Kumjibu

Lakini post ya Wema Sepetu ambayo aliiandika kupitia ukurasa wake wa Instagram imeonesha kutokumfurahisha muigizaji mwenzake Ray Kigosi ambaye amepost pia katika ukurasa wake wa instagram na kueleza kutokufurahishwa na namna Wema alivyoandika kuhusu ishu hiyo.
==> Wema Sepetu aliandika hivi;
"This
Is Scary… Ni Janga kubwa sana kwa wasanii, kwa wananchi na Kwa Taifa
letu kiujumla… Kinachonishangaza ni kuona baadhi ya wasanii wa Bongo
movie wamekazana kupost eti wapo kwa Mkuu wa mkoa wakiongelea WaKorea na
Waphilipino…. Mlikumbuka kumuuliza Mheshimiwa alipo Roma na Moni…??? Au
ndo mambo ya kila mtu anaangalia lake….
"Au
labda mpaka atekwe msanii wa Bongo movie pia ndo akili itatukaa
sawa…??? Oh God help Us Please… Lakini pia wala sitoshangaa hata kama
akitekwa msanii wa bongo movie hakuna atakaehangaika within Us zaidi ya
wananchi peke yao na watu wetu wa karibu… Tumejawa sana Unafki…!!! All
in All namuonea sana huruma Nancy….
"Our
prayers are with u mama… Inshallah mumeo atapatikana… Tuzidi kumuomba
Mungu…..🙏🏼🙏🏼🙏🏼…. Kabla sijasahau, Tuwage tuna hata fikra za kujua
tupo kwenye wakati gani na tupost vitu gani….!!! Yaani mtu kapotea siku
ya pili mko busy na kupost Wakorea na Waphilipino…?? 🙄🙄🙄 SMH.. "
==>Ray Kigosi hakuipenda post hii, hivyo akajibu;
NAFIKIRI
NI VEMA MTU KUELEZA HISIA ZAKE JAPO SIO BUSARA KWA MWENYE HISIA HIZO
KUZIELEZA BILA WEREDI NAWASIHI WASANII WENZANGU KUPOTEA KWA ROMA ISIWE
SABUNI YA KUTAKATISHA UCHAFU WA MTU SOTE TUMESIKITISHWA NA JAMBO HILO NA
TUMEONYESHA KWA VITENDO. MIMI NIMEPOST INSHU YA ROMA TANGU JANA USIKU
WEMA SEPETU WEWE ULIKUWA HUJAPOST CHOCHOTE TUSEME ULIKUWA HUNA UCHUNGU?
ALAFU LEO UNAANDIKA KUWA BONGO MOVIE HAWAPO PAMOJA NA TUKIO LA ROMA HUKU
NI KUTUGOMBANISHA NA WANANCHI WANAOTUAMINI. SISI BONGO MOVIE MARA
NYINGI SANA TUNAKUWA PAMOJA KWENYE MATUKIO YA BONGE FLEVA TOFAUTI NA
WAO. KAMA UNA UGONVI NA MTU HAYO NI MAMBO YAKO BINAFSI ILA USITUFANYE
SISI TUONEKANA WABAYA MBELE YA JAMII UTAKUWA KICHAA KAMA USIPOPATA
MAUMIVU KWA TUKIO LA ROMA NIMESIKITISHWA SANA POST YAKO @wemasepetu KAMA
UNADHANI HUU NI MUDA MUAFAKA WA KUTAFUTIA POINT KATIKA TUKIO LA ROMA
MKATOLIKI UMEFELI HILI NI JANGA LETU SOTE. @wemasepetu #(KINA ROMA WAKO
WAPI?).
Post a Comment