BARCELONA WAMEYAKANYAGA TENA, JUVE YAWATWANGA 3-0 LIGI YA MABINGWA, DYABALA APIGA MBILI, ALIYENG'ATWA NA SUAREZ, AMALIZIA KAZI
Juventus
iimeitwanga Barcelona kwa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya, Paulo Dybala akiwa shujaa kwa kufunga mawili.
Aliyefunga
bao la tatu la Juve ni beki mkongwe Giorgio Chiellini ambaye ndiye
aliwahi kuumwa na mshambulizi wa Barcelona Luis Suarez wakati akiichezea
Uruguay katika Kombe la Dunia nchini Brazil. Chiellini alikuwa
akiitumikia timu yake ya taifa ya Italia.
VIKOSI
Juventus: Buffon, Dani Alves, Bonucci, Chiellini, Alex Sandro,
Pjanic, Khedira, Cuadrado, Dybala, Mandzukic, Higuain.
Subs: Neto, Marchisio, Barzagli, Lemina, Asamoah, Lichtsteiner,
Rincon.
Rincon.
Barcelona: ter Stegen, Sergi Roberto, Pique, Umtiti, Mathieu,
Rakitic, Mascherano, Iniesta, Messi, Luis Suarez, Neymar.
Rakitic, Mascherano, Iniesta, Messi, Luis Suarez, Neymar.
Subs: Cillessen, Denis Suarez, Alcacer, Jordi Alba, Digne,
Andre Gomes, Alena.
Andre Gomes, Alena.
Post a Comment