Moto Wa Ghorofa La Grenfell Tower London Waua Watu 12
- Wafiwa na ndugu zao wakipewa pole na wananchi wa London.
- Familia mbalimbali zikiwa nje ya baada ya makazi yao kuteketea kwa moto.

Hata hivyo, moto huo hatimaye ulifanikiwa kuzimwa jana na vikosi vya zimamoto na kuliacha jengo likiwa limeungua vibaya.
- Watu walionusurika wakitafakari kilichotokea

Waokoaji wakiwa wamembeba mtu aliyepata madhara ya moto huo

Baadhi ya waliokumbwa na moto huo baada ya kuokolewa

Walioathirika na moto huo wakilia huku polisi wakifanya doria

Kikosi cha Zima Moto kikiwa kazini





Binti aliyeokolewa akilia kwa uchungu baada ya kuokolewa, hapo anapiga simu kuwasiliana na ndugu zake



Jengo likiteketea kwa moto baada ya kukolea

Baadhi ya maiti zikiondolewa eneo la tukio


















Post a Comment