Wakili aeleza sababu za Mbunge Lijualikali kuachiwa huru
Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam March 30 2017 imetengua hukumu
iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kilombero dhidi ya Mbunge Peter
Lijualikali baada ya kukubali kuwa hati ya mashtaka iliyomtia hatiani
ilikuwa na mapungufu.
Mmoja wa mawakili waliokuwa wakisimamia rufaa ya mbunge Lijualikali, Fred Kiwelo amesema sababu mojawapo iliyopelekea kuachiwa huru ni pamoja na hati mashtaka kuwa na mapungufu ambapo kosa ambalo alikuwa amehukumiwa nalo limetofautiana na maelezo ambayo amesomewa

Post a Comment