Lipumba Amtimua Rasmi Maalim Seif Na Amchaguwa Sakaya Kukaimu Ukatibu Mkuu
Tamko
hilo limetolewa na mwenyekiti wa CUF anayeungwa mkono na Msajili wa
Vyama, Prof. Ibrahim Lipumba ambapo amesema hatua hiyo imefikiwa baada
ya Maalim Seif kukaidi na kususia ofisi kwa miezi kadhaa.
Post a Comment