ad

ad

UGANDA ILIVYONZA NA "BAHATI MBAYA" KWA KUCHAPWA BAO 1-0 AFCON

Uganda imeanza vibaya michuano ya Afcon baada ya kuchapwa kwa bao 1-0 na Ghana.

Nahodha wa Ghana, Andre Ayew ndiye alikuwa shujaa baada ya kufunga penalti hiyo katika kipindi cha pili.


Mechi hiyo ya Kundi D ilikuwa ngumu na Uganda walionyesha juhudi kubwa lakini mwisho hawakufanikiwa. 


No comments

Powered by Blogger.