ad

ad

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2016 NA DARASA LA NNE YAPO HAPA

Baraza la Mtihani la Taifa, (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha pili, ambapo wanafunzi 372,228 (kati ya 435,075) wamefaulu sawa na asilimia 91.02.

Kiwango hicho cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 2 ikilinganishwa na asilimia 89.12 ya wanafunzi waliofaulu mtihani huo mwaka jana.


Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde alisema jumla ya wanafunzi 435,075 walioandikishwa kufanya mtihani huo kati yao wasichana ni 189,161 na wavulana ni 183,067.
Dk Msonde alisema ufaulu umeongezeka mwaka huu katika masomo ya msingi na wanafunzi wamefanya vizuri zaidi kwenye somo la kiswahili.

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2016

 

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2016


No comments

Powered by Blogger.