RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA AMUANDALIA DHIFA YA KITAIFA MGENI WAKE RAIS MAGUFULI NCHINI KENYA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
katika dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi.
Rais
wa Kenya Uhuru Kenyatta akizungumza katika dhifa ya Kitaifa
aliyomuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Nairobi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akigonganisha glass na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika
Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Mke wa Rais wa Kenya
Mama Margaret Kenyatta katika dhifa hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo huku akiwa amewashika mikono kwa pamoja Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta, Naibu Rais wa Kenya William Ruto na Mke wa Rais wa Kenya Mama
Margaret Kenyatta katika dhifa hiyo ya kitaifa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mabalozi mbalimbali wa Kenya waliohudhuria katika dhifa
hiyo ya Kitaifa.

Post a Comment