Tamasha la Tigo Fiesta Lafana Mjini Singida
Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed 'Shilole', akiongea na mashabiki wake Uwanja wa Namfua usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Tigo Fiesta.
Shilole akicheza sebene na shabiki wake.
Mashabiki wakiendelea kumshangilia Shilole (hayupo pichani)
Shilole akiendelea kufanya makamuzi.
Msanii wa Bongo Fleva, Jux, akiimba wimbo wake mpya wa Wivu.
Mkali wa wimbo 'Jike Shupa' Nuh Mziwanda akifanya yake.
Nuh Mziwanda akiongea na mashabiki zake.
Msanii wa Bongo Fleva, Niki wa Pili, akitoa burudani.
Staa wa Bongo fleva, Nandy (katikati) akicheza na wacheza shoo wake.
...Akiongea na mashabiki.
Juma Saidi aka 'Tox Star' akifanya yake.

Post a Comment