Kikosi
cha Yanga chini ya Kocha Hans van der Pluijm, kimefanya mazoezi yake ya
mwisho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar kabla ya kuivaa Esperanca ya
Angola.
Yanga inawavaa Waangola hao katika mechi ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Post a Comment