Pacha wa Wema ni gumzo!
Ule
msemo kwamba duniani ni wawiliwawili umeonekana kuwa na nguvu baada ya
kuwepo kwa binti mrembo anayefanana sana na staa wa filamu Bongo, Wema
Sepetu.
Binti
huyo anayefahamika kwa jina la Tuerney ambaye pia ana shepu bomba,
amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram na Facebook
kwani wadau wamekuwa wakiweka picha zake na za Wema kisha kuonesha jinsi
walivyofanana.
Chanzo chetu kilifanya jitihada za kutaka kumjua kwa undani lakini katika kuonesha
si mtu wa kutaka umaarufu kivile, alipotafutwa alikataa kutoa
ushirikiano akisema yeye hataki mambo ya magazeti. Jionee picha!
Post a Comment