Miss Hispania atwaa taji la Miss World 2015
Miss World 2015 Mireia Lalaguna Royo akivishwa taji lake.
Miss World 2015 Mireia Lalaguna Royo
(katikati) akiwa katika pozi na mshindi wa pili Sofia Nikitchuk kutoka
Urusi (kushoto) na mshindi wa tatu Maria Harfanti kutoka Indonesia
(kulia).
Miss Afrika Kusini, Liesl Laurie aliyeingia katika 10 bora.
Miss Sudan Kusini, Ajah Deng (katikati) yeye aliingia 20 bora.
5 bora.
10 bora.
MREMBO kutoka Hispania, Mireia Lalaguna Royo amefanikiwa kutwaa taji
la Miss World 2015 katika fainali zilizofanyika jana huko Sanya nchini
China.Katika kinyang’anyiro hicho, warembo kutoka Afrika Kusini na Sudani Kusini nao waling’ara kwa kuingia 20 bora.
Miss Afrika Kusini, Liesl Laurie aliingia katika 10 bora wakati mrembo kutoka Sudan Kusini, Ajah Deng yeye akitinga 20 bora.

Post a Comment