Mapenzi ya Quick Rocka na Kajala yamevunjika? Majibu yapo hapa
Kuna stori nyingi zinakuwa zikisambaa kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya mastaa wa kibongo Quick Rocka na Kajala Masanja, licha ya kuwa mengi yanazungumzwa lakini watu hawa wamekuwa wakikwepa kuliweka wazi suala hili kama ni kweli ama laa!!
Lakini time hii ripota wa millardayo.com alikutana na Quick Rocka kwaajili ya kuweka bayana, nahiki ndicho alicho kisema ambapo utakipata baada ya kubonyeza hapa chini>>
Post a Comment