Kidoa awafunika Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money'
Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ndo mwanamke mzuri wa Ijumaa Sexiest Girl 2015.
Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa na tuzo yake ya Ijumaa Sexiest Girl 2015 baada ya kuwafunika Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money' ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.
Post a Comment