TASWIRA ZA IKULU ASUBUHI YA LEO KUHUSU MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA OBAMA




Taswira
mbalimbali zinazoonyesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa
Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es Salaam mchana huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake amepita kila mahali
kuangalia kwamba mambo yanaenda mswano, ikiwa ni pamoja na kusaliamiana
na makundi ya wananchi wa Dar es Salaam walioko katika lango kuu la
Mashariki.
(Picha na Ikulu)

Post a Comment