ad

ad

KAMA ULIDHANI NEWCASTLE KIBONDE, SAHAU, YAITANDIKA LIVERPOOL BAO 2-0


Hii ndiyo raha ya soka, unayemuona mnyonge, ndiye anayeangusha kigogo.

Hii imetokea leo wakati Newcastle ilipoitwanga Liverpool kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu england iliyopigwa kwenye Dimba la Saint James Park.
Liverpool imekuwa na mwendo mzuri huku Newcastle ikiwakatisha tamaa mashabiki wake kwa vipigo mfululizo lakini leo imeamka kwa bao la kujfunga la Martin Skrtel kabla ya Wijnaldum kumaliza kazi katika dakika ya 90.
 

Newcastle (4-2-3-1): 
Elliot 6; Janmaat 7.5, Mbemba 7, Coloccini 7, Dummett 7.5; Colback 6.5 (Gouffran 77, 6), Anita 8; Sissoko 6.5, De Jong 5.5 (Perez 68, 6), Wijnaldum 8.5; Cisse 6.5 (Thauvin 82, 6)
Subs not used: Darlow, Sterry, Mbabu, Mitrovic
Scorers: Skrtel O.G. 69, Wijnaldum 90
Booked: Colback, Anita, Cisse
Manager: Steve McClaren 7
Liverpool (4-2-3-1): 
Mignolet 6; Clyne 6.5, Skrtel 5, Lovren 5, Moreno 6.5; Lucas 6, Allen 6; Milner 5.5, Firmino 5 (Sturridge 62, 6), Ibe 6.5 (Origi 75, 5); Benteke 4.5 (Lallana 62, 6)
Subs not used: Toure, Henderson, Bogdan, Randall 
Booking: Lucas
Manager: Jurgen Klopp 5
Referee: Andre Marriner 7
Att: 51,273
MOM: Wijnaldum









Powered by Blogger.