IVO MAPUNDA RASMI ATUA AZAM FC, APEWA MWAKA MMOJA
Kipa mkongwe nchini, Ivo Mapunda amejiunga na Azam FC.
Ivo atapewa mkataba wa mwaka mmoja na Mtedaji Mkuu wa Azam
FC, Saad Kawemba amesema kipa huyo amesajiliwa baada ya pendekezo la Kocha
Stewart Hall.
“Kocha alisema anataka kipa mzoefu nasi tukampa nafasi hiyo,”
alisema.
“Lakini mkataba hauwezi kuzidi mwaka mmoja kwa kuwa huenda
Ivo atakuwa na mipango yake mingine,” alisema.
Post a Comment