ad

ad

Isha Mashauzi - Jiamini (Audio)

ISHA MASHAUZI AACHIA NGOMA MPYA YA ZOUK RUMBA “JIAMINI”

Mwimbaji bora wa kike wataarab Isha Mashauzi, amezidikudhihirishakuwayukovizurihatanjeyataarabbaadayakuachiangomayakempya “JIAMINI” iliyokokatikamiondokoyazouk rumba.

Unaambiwangomahiyoiliyofanywakatika studio za Soft Records chiniya producer PitchouMechant, imetiwamkononamkaliwakinanda Fred ManzakakutokaMashujaa Band namchawiwa bass DekantowaAkudo Impact huku solo gitaalikikung’utwanaPitchouambayepiaanaitumikiaAkudo Impact.

Sautizoteutakazozikiakwenyewimbohuuwadakikanne, nizakwakeIshaMashauzi.

HiiinakuwangomayanneyaIshaMashauzinjeyataarabbaadaya “NimlamuNani”, “NimpeNani” na “Usisahau”
Powered by Blogger.