ad

ad

Nandy Na Aslay Walivyonogesha Usiku Wa Mapenzi Escape One (Video)

Shoo hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambayo ilikuwa iliandaliwa maalum kwa ajili ya kusheherekea Siku ya Wapendanao (Valentine Day). 


Mashabiki waliburudika kwa wasanii hao kwa kila mmoja kuimba ngoma zake na baadaye wakaziamsha hisia za wapendanao waliofika ukumbini hapo kwa kuimba kwa pamoja wimbo wao yenye ujumbe mzito wa mapenzi wa ‘Subalkher’. 

SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars Wakati akipafomu wimbo wake wa ‘Mama’, Aslay, alizigusa hisia za mashabiki waliofika ukumbini hapo akiwemo mama wa msanii Nandy ambaye alionekana kutamani kulia kutokana na maneno aliyokuwa akiongea Aslay ya kuelezea uchungu alionao juu ya kifo cha mama yake mzazi.
SUBSCRIBE: https://www.youtube.com/c/KidaniStars

No comments

Powered by Blogger.