ad

ad

LIVERPOOL YAIPA KICHAPO MANCHESTER CITY NYUMBANI BAO 4-1



Liverpool imeanza kazi? Maana leo imeionyesha kazi Manchester City kwa kuichapa mabao 4-1.

City ndiyo walikuwa nyumbani lakini wakakiona cha moto baada ya kutwangwa mabao hayo manne.
Beki Eliaquim Mangala alijifunga, Wabrazil Coutinho na Firminho kila mmoja akatupia na Martin Skirtel akamalizia kazi.

Bao pekee la Man City lilifungwa na Muargentina Sergio Aguero.







Powered by Blogger.