Huyu Ndio Mshindi wa Shindano la Urembo la Miss Universe 2015 Tanzania
Usiku wa November 20 2015 ulimwengu wa urembo Tanzania umeandika
historia nyingine kubwa na nzuri ambapo mrembo mmoja aliibuka na ushindi
wa taji la Miss Universe 2015 !! anahesabu siku chache tu kugusa stage
ya Miss Universe duniani !
List ya warembo waliogusa TOP 3 ya Miss Universe 2015 ilikuwa hivi:


Post a Comment