Tunda atangaza ndoa na Young D
Imelda mtema
Video
Queen Tunda Sabasita hivi karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa
kimapenzi na mwanamuziki David Genze ‘Young D’ ambapo amesema Mungu
akipenda ndoa yao itafungwa soon.
Akiongea
na Ijumaa, Tunda alisema kuwa ni kweli yuko katika kisiwa cha mapenzi
na mwanamuziki huyo na kuweka wazi hisia zake kuwa anampenda sana na
kumthamini tofauti na watu wanavyo muongelea.
“Ni
kweli niko na D na ninampenda sana, Mungu akipenda tutakuwa mwili mmoja
soon kwa sababu nimempima na kuona ndio mwanaume mwenye nafasi kubwa
kwenye moyo wangu,”alisema Tunda.

Post a Comment