ad

ad

ISSA HAYATOU AWEKA REKODI YA KUWA RAIS MWEUSI WA KWANZA WA FIFA

HAYATOU AKIWA NA MALINZI
Rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (Caf), Issa Hayatou ndiye Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

Hayatou amechukua nafasi ya Sepp Blatter ambaye amesimamishwa kwa siku 90.
Pamoja na Blatter, Rais wa Uefa, Michel Platini naye amekumbana na sakata hilo.

Hivyo, Hayatou anakuwa Rais wa Fifa wa muda na kuweka rekodi ya kuwa Mwafrika wa kwanza kukalia nafasi hiyo.
Powered by Blogger.