ad

ad

Mgombea Ubunge Lushoto (CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki katika ajali

Taarifa  ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia

WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.

Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.

========
UPDATES:

Quote By Informer View Post

WanaJF,

Kuna taarifa nimepokea kutoka Lushoto kuwa kuna ajali ya gari imetokea usiku huu ikimuhusisha mgombea Ubunge wa CHADEMA, jimbo la Lushoto, Mohamed Mtoi na kuwa amefariki dunia katika ajali hiyo.

Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un

======
Chini ni picha inayoonyesha ajali ilivyokuwa:

Powered by Blogger.