ad

ad

Wema Sepetu: Sijawai toka kimapenzi na Mkongo

Apocalypse Bella anayedaiwa kutoka na Wema Sepetu.
WEMA_SEPETU712.jpg
Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu.
Alichokijibu Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu baada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na mwanamme Mkongo  anayejulikana Instagram kwa jina la Apocalypse Bella .
" Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile... Sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu... Im Tired... Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man... I only know him as a friend... So please guys.... Niacheni kidogo tafadhal... Alam-siq...!!!🙏🏽🙏🏽🙏🏽 And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart... Mwanaume wangu nadhani anajulikana... Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers... Na nyie mnampa airtime ya kutosha.... So anaendelea... Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira... But nakaa tu kimya... This is too much now...!

No comments

Powered by Blogger.