ad

ad

MWANAMUZIKI NIKKI WA PILI ALIVYOLAMBA SHAHADA YA UZAMILI (MASTERS) UDSM

Nick wa pili (wa nne kulia) akiwa na wahitimu wenzake baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili katika Maendeleo kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Nikki wa Pili katika pozi baada ya kula Nondoz jana.
...Akihojiwa na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo.
Nikki akipozi na kaka yake Joh Makini (kulia) pamoja na DJ Choka (kushoto).
...Akisukuma mkoko baada ya mahafali yaliyofanyika Mlimani City jijini Dar jana.
(Picha zote kwa hisani ya Mdodosaji Blog)

Powered by Blogger.