ad

ad

Jionee picha 4 za Mwanza Mwanza Mwanza, Lowassa kweli anapendwa Ukawa






Wakati makada wakongwe wa CCM wanatapatapa kudanganya watanzania kwa mara nyingine tena kuwa CCM inaweza kuwatoa kwenye lindi la umasikini, Watanzania wameonekana kuendelea kuiunga mkono UKAWA. Hii ni Mwanza leo, siyo kampeni, ni kuwatambulisha wagombea urais. Mwaka wa Mabadiliko! Sema neno kwa wana wa Mwanza.
JSM.
Powered by Blogger.