WASTARA: WANASIASA WANATUTUMIA TU
Staa wa filamu za Kibongo Wastara Juma, ameibuka na kusema kuwa
wanasiasa wanawatumia wasanii wakiwa na shida zao lakini wakishapata
uongozi huwasahau na kuwaona ni wasumbufu pale wanapohitaji msaada.
“Yaani kuna wakati sipendi kabisa siasa na wala sipendi kufungamana na mtu kwa sababu nilichojifunza sisi wasanii tunatumiwa kama Big G tu kwa sasa kwa sababu wana shida, baada ya hapo tutaachwa solemba na hata tutakapohitaji kusaidiwa jambo lenye masilahi kwetu tutaonekana wasumbufu,” alisema Wastara.
Staa wa filamu za Kibongo Wastara Juma.
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Wastara alisema kuwa kwa sasa
wao watakuwa lulu kwa wanasiasa na kutumiwa ipasavyo lakini baada ya
mchakato wa uchaguzi kuisha wataonwa hawafai, kitendo ambacho si kizuri
kwani wanatakiwa kukumbukwa wakati wote.“Yaani kuna wakati sipendi kabisa siasa na wala sipendi kufungamana na mtu kwa sababu nilichojifunza sisi wasanii tunatumiwa kama Big G tu kwa sasa kwa sababu wana shida, baada ya hapo tutaachwa solemba na hata tutakapohitaji kusaidiwa jambo lenye masilahi kwetu tutaonekana wasumbufu,” alisema Wastara.
Post a Comment