BUSU LA WOLPER LAMCHANGANYA SHAROBARO
Busu la staa wa filamu hapa Bongo, Jacqueline Wolper limemchanganya
sharobaro mmoja aliyefahamika kwa jina la Mutran Tamimu baada ya kupata
nafasi ya kugusanisha midomo.
“Nimekutana na wasichana wengi wazuri lakini midomo ya Wolper imenitia uchizi, busu lake linanitesa kila nikikumbuka,” alisema kijana huyo anayekuja vizuri kwenye anga la filamu.
Wolper alipotonywa kuhusu sentesi za kijana huyo, alisema alijua hilo tangu mwanzo kwani hata walipokuwa wakiigiza alimuona akitetemeka.
CHANZO: IJUMAA - GPL
Mutran Tamimu akimbusu staa wa filamu hapa Bongo, Jacqueline Wolper.
Akizungumza na Ijumaa, kijana huyo alisema tangu apate nafasi hiyo
wakati wakirekodi filamu iitwayo Huba, anajihisi kama amechanganyikiwa
kwani mdada huyo ana mvuto kuliko maelezo.“Nimekutana na wasichana wengi wazuri lakini midomo ya Wolper imenitia uchizi, busu lake linanitesa kila nikikumbuka,” alisema kijana huyo anayekuja vizuri kwenye anga la filamu.
Wolper alipotonywa kuhusu sentesi za kijana huyo, alisema alijua hilo tangu mwanzo kwani hata walipokuwa wakiigiza alimuona akitetemeka.
CHANZO: IJUMAA - GPL
Post a Comment