Aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ ameweka hadharani hisia zake za kutaka kurudiana na aliyekuwa mume wake rapa Wiz Khalifa na kusema kuwa yeye ndio kipenzi cha maisha yake na kwamba bado anampenda.
Post a Comment