HAPPY 'BETHIDEI' MDAU WETU NICOLAUS TRAC
Nicolaus Trac akiwa katika pozi.
Timu nzima ya 2jiachie Coporation Ltd tunakutakia siku njema ya kuzaliwa Nicolaus Trac siku ya leo, Tunasema asante sana kwa sapoti yako kwetu tutaendelea kukuthamini siku zote.
Mungu akupe maisha marefu na yenye mafanikio daima.
Unaweza kumfollow Nicolaus Trac Instagram @nicolaustrac na Facebook hapa ===>Nicolaus Trac

Post a Comment